| Bondia Mbwana Matumla (kulia) akioneshana umwamba wa kutupa makonde na Omari Bayi wakati wa tamasha la kuamasisha mchezo wa ngumi uliofanyika, Dar es Salaam jana mabondia wote wanajiandaa na mapambano yao yatakayofanyika mei mosi katika ukumbi wa PTA sabasaba Dar es salaam. (Burudanblog) |