Katibu Mkuu wa Chama Cha Waandishi wa habari za michezo nchini Tanzania Amir Muhando akiongea na waandishi wa habari katika ofisi za shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF wakatimalipotangaza majina ya wachezaji watakaowania tuzo hizo mei 6 mwaka huu katika hoteli ya Movenpick, katika picha kulia ni Sultani Sikilo wa TASWA, na haya ndiyo majina a wachezaji waliochaguliwa na vyama vyao kuwania tuzo hiyo. Riadha Wanaume: 1. Samson Ramadhan 2. Marco Joseph 3.John Bazil Wanawake: 1. Zakia Mrisho 2. Mary Naali 3. Magdalena Mushi 2. Wavu Wanaume: 1. Kevin Peter (Magereza Wanaume) 2. –Mbwana Ally Mzinga Morogoro 3. Ibrahim Cristopher( Nyuki Zanzibar). Wanawake: 1. Hellen Richard Mwegoha (Magereza Wanawake). 2. Yasinta Remmy (Jeshi Stars) 3. Zainabu Thabit (Jeshi Stars)
3. Netiboli 1. Lilian Sylidion-Filbert Bayi 2. Mwanaid Hassan-JKT Mbweni 3. Sekela Dominick-JKT Mbweni 4. Karate Wanaume: 1. Sempai Steven Bella 2. Semapai Ayub seleman Wanawake: Kuna jina moja haliwezi kutangazwa.
5.Kikapu Wanaume: George Otto Tarimo- Savio-DsmLusajo Samwel Mwakipunda- Oilers-Dsm Gilbert Batungi
Wanawake: 1. Faraja Malaki- Jeshi Stars-DSM
2. Zakhia Kondo- Lady Lioness-Dsm 3. Doritha Mbunda- JKT Stars 6. Soka Wanaume 1: Khamis Mcha-Zanzibar Ocean View 2.Mrisho Ngasa-Azam FC 3.Shadrack Nsajigwa-Yanga 4. Juma Kaseja-Simba Wanawake: 1.Asha Rashid 2.Mwanahamisi Omary 3.Fatuma Omary 7. Ngumi za Kulipwa 1. Karama Nyilawila 2.Mbwana Matumla 3. Francis Cheka
8. Ngumi za ridhaa Revocatus Shomari-Bantam Selemani Kidunda-Middle Weight 3.Said Dume-Fly Weight
9. Gofu Wanawake: Hawa Wanyeche Madina Iddi Vailet Peter
Wanaume:
Frank Roman- Adam Abbas Isaac Anania10: BAISKELI
10. Baiskeli Wanaume: 1:Hamis Clement 2: Richard Laizer 3:Said Jumanne Wanawake 1:Sophia Anderson 2:Martha Anthony 3:Ndashimba Kulia
11. Kriketi Wanaume: (1) Kassim Nassor (2) Seif Khalifa (3)Benson Mwita
Wanaawake: (1) Hawa Salum
(2) Mariam Said (3) Sophia Hemed
12. Mpira wa mikono Wanaume: 1.Kazadi Monga-Magereza 2Hemed Saleh-JKT 3Abineri Kusena-JKT Wanawake: Happiness Mahinya-JKT Teresia Kifukwe-Magereza Zena Mohammed-JKT 13. Watanzania wanaocheza nje Hasheem Thabeet-soka Henry Joseph-Soka Rogers Mtagwa-ngumi Nizar Khalfan-soka
14. Wachezaji wa nje wanaocheza Tanzania 1. Emmanuel Okwi-soka (Simba) 2. Yaw Berko-soka (Yanga) 3. Kanda Kabongo-kickboxing
15. Wanamichezo Chipukizi 1: John Bazil-riadha 2.Magdalena Cristian-riadha 3. Lilian Sylidion-netiboli 4. Vailet Peter-Gofu
16. Judo Wanaume: Khamis Azan Hussein-Zanzibar Abeid Omar Dola-Zanzibar Masoud Amour Kombo-Zanzibar
17: TUZO YA HESHIMA:Itatangazwa siku ya siku.
Katibu Kamati ya Tuzo |