skip to main |
skip to sidebar
Pasaka Ni Mayai Ya Kienyeji, Au?
Leo pale Mashine Tatu Iringa Mjini nimenunua mayai kwa mzee wangu huyu. Ni mayai ya kienyeji, moja shilingi mia tatu! Kulia Mzee ana tenga la kuku pia, kuku mmoja wa kienyeji ni shilingi elfu sita.