Saturday, April 23, 2011

Leo Nilitua Kwa Babu Soko Kuu Iringa!

Tango moja na pilipili shamba tatu. Nimempa noti ya mia tano, ananirudishia mia mbili! Nilimwomba Babu abaki nayo.