Monday, April 25, 2011

JK Katika Tamasha La Nyimbo Za Injili

Rais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa tamasha la nyimbo za injili lililofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.Tamasha hilo lililojumisha wasanii wa nyimbo za injili kutoka ndani na nje ya nchi liliratibiwa na kampuni ya Msama production ya jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete akizindua album ya Haleluya collection yenye nyimbo za wasanii mbalimbali wa injili wakati wa tamasha la wasanii wa nyimbo za dini lililofanyika katik ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salam jana mchana.Katikati ni mratibu wa Tamsha hilo Bwana Alex Msama na kulia ni Askofu Samson Kameta(Picha:Freddy Maro).