| Meneja wa mauzo wa kampuni ya bia Tanzania TBL tawi la Mwanza bw. Maliki Sitaki akikabidhi fedha taslimu shilingi milioni 1.5 kwa mkuu wa mkoa wa Mwanza Abass Kandoro kama sehemu ya mchango wa kampuni yake kusaidia maandalizi ya awali kwa timu ya mkoa wa Mwanza (Mwanza Herous) itakayoshiriki michuano ya ligi ya Taifa inayotaraji kuanza kutimua vumbi may 7/2011.(Picha:Mdau Mwanza) |