Picha ya Mlima huko Arizona. Jamani utunzaji wa mazingira ni mzuri sana, nilivutiwa kupiga picha hii, inajieleza hasa nilivyoyaona mandhari ya mlima huu, ambao jua linapozama nyakati za jioni hubadilika rangi kufuatana na machweyo ya jua. Kwamimi nimeweza kuita mlima wa ajabu unaobadilika rangi jinsi jua linavyozama. |