Monday, April 25, 2011

Mnapokutana Mnakumbuka Shule

Wa kwanza kushoto Oscar Kayanda, Producer Clouds TV and Radio, Victor Makinda (katikati) Mwandishi/mchambuzi wa makala za kisiasa na kijamii gazeti Rai. Juma Kasesa mwandishi habari za michezo na burudani Gazeti Tanzania Daima. Tulisoma wote Darasa moja, Dar es Saalaam School of Journalism(DSJ). Picha Kinondoni Studio jijini Dar es Saalam jana usiku..