Sunday, April 24, 2011

Mlo Wa Pasaka Huu!




Umeandaliwa na mke wangu mpenzi. Hapo kuna samaki wa kupaka, viazi, bilinganya na saladi. Pilipili shamba nimeishika mkononi! Makamanda wangu hawakubakisha kitu.