Wednesday, April 27, 2011

Mkanganyiko Jikoni; Enyi Mabingwa Wa Mapishi......




Uyoga wangu nimeshauchambua. Nitauchemsha kidogo, baada hapo sijui hasa niupike vipi. Enyi mabingwa wa mapishi, njooni na mawazo ili ntakachopika mke wangu na makamanda wangu wasikibakishe!