Wednesday, April 27, 2011

Hapa Kuna Embe Ya Malawi!


Imepitia Mbeya na imefika hadi Iringa. Pichani ni jana jioni. Embe moja shilingi mia tano.