Tuesday, April 26, 2011

Filamu Ya Devil Kingdom Ya Kanumba Imemshirikisha Ramsey Noah Wa Nigeria

Mwigizaji maarufu wa filamu hapa nchini Steven Kanumba (kulia) akiwa na mwigizaji kutoka nchini Nigeria Ramsey Noah  mchana wa leo katika hotel ya Peacock wakati walipozungumza na waandishi wa habari kuhusu ujio na ushiriki wa Ramsey Noah katika filamu mpya ya Devil Kingdom ilyoigizwa na Steven Kanumba kwa kushiriana na Muigizaji huyo maarufu kutoka Nigeria

Mwingizaji maarufu wa filamu za kutoka nchini Nigeria, Ramsey Noah akizungumza na waandishi wa habari leo mchana katika hoteli ya Peacock kuhusu ushiriki wake katika Filamu Mpya ya Kanumba inayokwenda kwa jina la Devil Kingdom inayotarajiwa kuingizwa sokoni hivi karibuni(Picha:Mjengwablog)