Saturday, April 23, 2011

Extra Bongo Katika Burudani Ya Mkesha Wa Pasaka Jana Star Coco Beach Club




Mambo yalikuwa Bam Bam.... Ni burudani mpaka kumekucha.  Watoto wa mjini Extra Bongo Wana Next Level walipagawisha mashabiki kisawasawa.( Picha zote:Mjengwablog)