Sunday, May 1, 2011

Tamasha La Serengeti Soccer Bonanza Lafana Mjini Dodoma

Baadhi ya mashabiki wa Chealsea na Arsenal wakingalia timu zao wakati zilipokuwa zikicheza.

Huyu akipiga vuvuzela lake huku akiwa amelala ni burudani kubwa katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma, kama unavyoona wapiga picha wakihangaika kumpiga picha.

Mashabiki waangalia michezo ya Serengeti Fiesta Soccer Bonanza.


Mratibu wa Tamasha la Serengeti Fiesta Soccer Bonanza Shafii Dauda, akiwaelekeza wachezaji sheria zinazotumika katika michuano hiyo kabla ya mpia kuanza. (Fullshangweblog)