Sunday, May 1, 2011

Sherehe Za Muungano Zafana UK

Wakati wa kulisakata rhumba. 
URBAN PULSE CREATIVE inawaletea picha za sherehe za kuadhimisha Muungano wa Tanzania na Zanzibar zilizofanyika hapa london tarehe 30.4.2011. Sherehe hii zimedhaniwa na swift Freight.
Asanateni
Mh Balozi akifungua sherehe

Kiondo kutoka ubalozini akiwa na familia yake

Wadau wakila pozi

Wadau wakila poz