Sunday, May 1, 2011

MSAADA TUTANI: Kama Kuna Watanzania Barcelona

Naomba tuwasiliane. ' Mwenyekiti' wenu kuna jambo nataka kuuliza kuhusiana na mahali hapo. Tuwasiliane; mjengwamaggid@gmail.com au simu; 0788 111 765

Natanguliza Shukran.
Maggid
Iringa