Sunday, May 1, 2011

Leo Ni Mei Mosi; Haki Na Wajibu Na Iwe Tafakari Yetu

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Nicholas Mgaya.

Rais wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania Dr Jakaya Kikwete.                                                                                                                                                                          "Mjengwablog inawatakia wafanyakazi wote Sikukuu njema ya Mei Mosi. Yapo ya kutafakari katika siku hii muhimu kwa Wafanyakazi wote.  Kubwa ni Haki na Wajibu. Hakuna haki pasipo wajibu vivyo hivyo hakuna wajibu pasipo haki. Tenda haki nitimize wajibu. Timiza wajibu Utendewe Haki. Haki na wajibu ni sura mbili za Sarafu moja. Sikukuu njema."