1. Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete mawaziri na viongozi wa wafanyakazi wakiimba wimbo wa Solidarity forever wakati wa maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani katika uwanja wa michezo wa Jamhuri mjini morogoro leo asubuhi.
2.Baadhi ya Waalimu wakishiri katika maandamo kuadhimisha siku ya wafanyakazi duniani iliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri Morogoro leo asubuhi. ( Picha zote: Freddy Maro)

